Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye makao makuu ya chama cha CUF jijini Dar,akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wengine wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)
Comments
Post a Comment