THE MOST BEAUTIFUL WEDDING GOWNS FROM MIRA ZWILLINGER BRAND.


Mira Zwillinger ni brand inayoendeshwa na mama na mwanae "Mira" and "Lihi" ambao wame-specialize kutengeneza wedding gowns kwa mikono yao wenyewe.
Hii collection yao inaitwa "WHISPER OF BLOSSOM", hizi ni baadhi tu but they have so much more, wedding gowns zao are so out of this world, just too beautiful..ni kama sheer and lace na the patterns kwenye dresses ni kama tree branches.




Comments