PICHA ZA WAISLAM HUKO AFGHANISTAN WAKIMWAGA DAMU KUMUENZI MJUKUU WA MTUME MOHAMMAD.

 Waislam huko Afghanistan, wanjulikana kama shiite muslims wakitekeleza mila zao  known as self flegilation ambapo wanajikata na kujirarua na visu ili kumuenzi mjukuu wa mtume Mohammad.
Hata watoto wadogo pia wanaonekana wakifanya hivyo hivyo. We nine wakilia kwa maumivu wanayoyapata.


















 Source:: Daily Mail













Comments