Well Diamond Platnumz amewapa mashabiki zake mengi ya kuongea wakiwa wengine wamefurahi wengine wakimwambia na yeye kawa kokoro kutokana na picha yake alo post instagram
Alipost picha hii akiwa kavaa kiji boxer cheusi na a camouflage jacket akiweka caption hii ya
Straight from the Changing room!...I think i need to go back to the gym so that i can be more flexible on m 24th Pre-XMass Parformance in Dar Es Salaam
Comments amepata nyingi sana za kulaumu na kumsifia ,mradi tu mashabiki wanacho cha kuongea kwa sasa
Waonaje mdau???
Comments
Post a Comment