Shilole baada ya kuibiwa vifaa vyake vya muhimu kwenye kupikia amerudi upya kwa nguvu ya kasi akiwa sasa ameshika usukani mwenyewe wa upishi
it's always nice kuona msanii anajiongeza kwa kujipatia kipato zaidi ya kile cha kazi yake ya muziki tu kama tunavyo ona wasanii wengi waki ingia kwenye ujasiriamali.
Japo wasanii wengi wanauza nguo but shishi kaingia kwenye msosi
hongera shilole and good luck
Comments
Post a Comment