Ray nafikiri anakaribia kuachia ngoma au Album,with these new pictures may be za kupromote nyimbo,and on her insta page ameweka Ni wewe loading....
so may be ni nyimbo atachia soon
We cant wait kusikia ngoma yako Ray C tumekumiss
Ila in the mean time tu enjoy her new pictures
Ray C anapendaga sana mahadhi ya kihindi naona hata theme ya shoot hii ilikuwa mambo ya wadosi
Comments
Post a Comment