Baada ya Diamond kuomba fans wake waweza kumsaidia kuchagua jina la mtoto wao wa kiume ambaye leo ana siku ya 8 tangu azaliwe.
Miongoni mwa majina ambayo aliyatoa ni Help me to Pick One for my Baby Boy Please.....
RAMIA....NILLAN... LANIER.... AKRAM
RAHUL...RIAZ..... DYLAN...?
Mwisho wa siku wameamua kuchukua jina la NILLAN ,me nacheka tu watu walianzisha hadi page ya prince Riaz sijui why walijichukulia jina hilo wakati wenyewe hawajatoa tamko jina gani wanatumia,acheni viherehere sasa kiko wapiiii .
Mtoto ana four hours tangu afunguliwe account tayari ana followers 46.4 K
Comments
Post a Comment