Yes Wema Sepetu is back on instagram baada ya kuondoka kwa muda tangu december.
Ana mambo mengi anasema anakuja kuwapa mashabiki zake akiwa na hashtags kama wssoclosetoyou #wsladieschoice #wsyouraddiction.
Does this mean anakuja na collection ya nguo zake?na may be zotakuwa online alovyo hint kuwa wssoclosetoyou??
Tuendelee kusubiri Wema kaja na nini kipya.

Comments
Post a Comment