Video: Nuh Mziwanda – Anameremeta

Msanii Nuh Mziwanda baada ya kufanya vizuri na ngoma ya “Jike Shupa”, ameachia video yake mpya ya wimbo unaitwa “Anameremeta”, video imeongozwa na Joowzey.


Comments