Hatima ya watumishi wenye vyeti feki kujulikana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kupokea taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma katika Ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.

Comments