Mpigapicha aeleza kuhusu picha za bila nguo alizompiga Ben Pol (video)
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mpigapicha Clemence wa Tanzania amekaa kwenye EXCLUSIVE ya Ayo TV na millardayo.com na kueleza ni kwa nini na ilikuaje mpaka akampiga picha za bila nguo Mwimbaji wa R&B Tanzania Ben Pol na kuzipost kwenye Instagram yake…. hii video hapa chini ina kila alichosema.
Comments
Post a Comment