Zari The Bosslady, wa Diamond Platnumz na Sarah wa Harmonize, wamekutanishwa weekend hii kwa mara ya kwanza na wapenzi wao. First ladies hao wa WCB walikuwa pamoja na Diamond na Harmonize kwenye kiota cha raha za usiku, B-Club jijini Nairobi, Kenya.
Diamond na Zari,Sarah na Harmonize
Comments
Post a Comment