HONGERA LINAH SANGA KWA KUPATA MTOTO WA KIKE on July 26, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Linah Sanga amekuwa mama. Muimbaji huyo amejifungua mtoto wa kike Jumanne hii katika hospitali ya Marie Stopes, jijini Dar es Salaam. Jina la mtoto bado halijafamika. Tunampongeza sana Linah kwa kujaliwa kupata mtoto wake wa kwanza. Mungu ni mwema kwangu 😇 CC @kids_cityshopping A post shared by Linah Sanga (@officiallinah) on Jul 25, 2017 at 4:21pm PDT Comments
Comments
Post a Comment