Katika ndoa ya Joti iliyofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam ilikuwa na matukio mengi ya aina yake, moja kati ya matukio hayo ni namna mtoto wa Joti ambaye alizaa na mwanamke mwingine alivyoimba wimbo ambao uliwatoa machozi watu ambao walitokea ukumbini hapo pamoja na mke mpya wa Joti
Comments
Post a Comment