Diamond na Mobetto wakubaliana, kesi yafutwa

Mahakama imeifuta kesi ya madai ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na Hamisa Mobeto dhidi ya mwanamuziki Diamond Platinumz baada ya wawili hao kupatana.


Comments