Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa onyo kali kwa vijana wake wa kiume Nilan na Daylan kwa kuwata asiwaletee wakwe vijuso.
Diamond katoa rai hiyo kwa watoto wake hao ambao amezaa na wanawake wawili tofauti ambao ni Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady, na Daylan (AbdulLatif) aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Comments
Post a Comment