Abdu Kiba afata nyayo za Kaka yake Ali Kiba na Kuweza Kumuoa Bibie Ruy

Siku ya Alhamis Ali Kiba alioa kule Mombasa nchini Kenya na Siku ya Jumapili ambayo ni jana tarehe 22 .
Amefunga ndo na Bi Ruy kule Magomeni,Nahisi watafanya sherehe ya pamoja siku ta tarehe 29 wako smart wanaua ndege wawili kwa jiwe moja.






Comments