Baada ya kufunga ndo katika kati ya mwezi huu ndugu wawili Ali Kiba ambaye alifunga ndoa na Amina ,wakati Abdu kiba akifunga ndo na Ruwayda,Jana walifanya reception yao pale Hyatt Regency Dar es Salaam.
Ali Kiba na mkewe Amina
Abdu Kiba na Mkewe Ruwayda
cake
Comments
Post a Comment