Pale designers wanapo amua kuja na nguo ambazo wanajua mbali na kwamba wengi hawataweza kuzinunua wanahakikisha mtaziongelea sana nguo zao.
ndo kilichotokea kwa Balenciaga walioamua kuja na t shirt shirt ambayo mbele ni shirt na nyuma ni t shirt unaweza kuvaa t shirt shati likakaa tu mbele au ukavaa shati t shirt ikaning'inia kwa nyuma.
Watu wameponda sana bei yake ya $1290 but at the end of the day hawatengenezi kwa normal people maana wengi hawanunui bei kubwa sana mnaishia kuponda tu.
kwanza utavaa t shirt kama hii???
pili uta splurge milioni 3 kasoro for this???
wakati unaona huu ni upuuzai kuna wenye hela mradi tu wavae designer t shirt ,its not about the money ni ile pride
ngoja tuwapishe
Comments
Post a Comment