Dkt Ali Bashiru Katibu Mkuu Mpya wa CCM akabidhiwa ofisi rasmi na Kinana

Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amemkabidhi nyaraka kama ishara ya kumkabidhi rasmi ofisi Katibu Mkuu mpya wa chama hicho Dkt. Bashiru Ali katika ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.

Kinana aliomba kujiuzulu nafasi hiyo kutoana na kuitumikia kwa muda mrefu na Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa alimkubalia na kumpendekeza Bashiru ambaye alipitishwa na Kamati Kuu ya CCM.

Comments