Model ,mjasiriamali na mdau wa elimu Flaviana Matata alipost picha instagrama akiwa huko Karagwe ambapo alikua kavaa designer shoes za Gucci Leather Mid Heel Loafers ambazo ni black .
Kwenye Website ya Gucci vinauzwa $1150 .
Viatu vinakuja in black and white too,wale mtakao ona red mjue Fake
can you splurge $1150 on shoes???
Comments
Post a Comment