Official Pictures za Harusi ya Prince Harry na Meghan Markle

Weekend ,siku ya jumamosi dunia nzima lilolkua linazungumziwa ni harusi ya mtoto wa ki falme prince Harry wa huko uingereza.
Amemuoa Actress,huma rights activist Meghan Markle ,harusi ilikua ya ki historia sababu Meghan ni binti mwenye mchanganyiko wa wazazi Baba yake akiwa mzungu na mama yake akiwa African American.
Picha na familia 

they look so in love 





Comments