Rais Magufuli amteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli amewateua Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere, kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC).

source ;;BONGO5

Comments