Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ambapo imefanya tathimini ya usajili wa wanafunzi wanaoomba mikopo ambapo wanafunzi 18,000 wamekamilisha maombi yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Abdul- Razaq Badru amewataka wanafunzi kuwahi kuwasilisha maombi yao kabla muda haujaisha, pia amewataadharisha wanafunzi kuepuka matapeli.
Comments
Post a Comment