We waonaje hair style hii mpya ya mwanamuziki kutoka kundi la Navy Kenzo,Aika ame debute hair do yake hii jana kwenye instagram page yake ,mashabiki waligo banana kwa kulike picha yake na maswali kibao wakiwa wanafananisha pia style hii kama Dishi,uyoga umehamia kichwani ,ngata na mengine mengi.
Hair style inatoka kwa mkongwe wa makeup and hair Rehema Samo ambaye ana andaa Hair book yake inayotoka mwaka huu aloipa jina la #RehemaHairBook2018 creative style
Comments
Post a Comment