Wanaigeria walivyo SLAY kwenye Uzinduzi wa Movie ya ocean 8 iliyopewa theme ya Met Gala 2018

Met Gala ya mwaka huu theme yake ilikua heavenly bodies,fashion and Catholic imagination.Star walislay sana  kwenye red carpet but kwa Africa Nigeria ndiyo wameweza kuiiga na kupata mafanikio makubwa.

Kwenye uzinduzi wa movie ya Ocean 8 huko Lagos ndipo theme hii ilipoweka kwenye matumizi  na hivi ndivyo baadhi ya celebrities wa Kinigeria walivyotokelezea.




























Comments