Juzi ilikua 40 ya mtoto wa mtangazaji maarufu Zamaradi Mketema .Mtoto wake wa 3 King Salah alifikisha siku 40 tangu kuzaliwa kwake.
Shughuli ilifana sana na Wanakamati walivaa Greenery rangi ya mwaka ya 2016,walipendeza sana.
DECOR ilifanywa na partyboxevents
Irene Paul
Wema Sepetu
Aunty Ezekiel





























Comments
Post a Comment