Mwanamitindo Hamissa Mobetto amepata shavu na kuingia mkataba wa mwaka mmoja wa kuwa Balozi wa kiwanda kinachotengeneza nywele (rasta) cha Prima Afro, kilichopo maeneo ya Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam
Hongera sana Hamisa tunapenda kuona unapiga kazi kama hivi
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amejibu baadhi ya maswali aliyohojiwa na Ayo TV ikiwemo swala la kuonana na muigizaji Elizabeth Michael a.k.a Lulu baada ya kutoka gerezani huku ikiwa Lulu anasemekana kuwa mapenzini na mwanaume aliyezaa na Hamisa mtoto wa kwanza
Comments
Post a Comment