Ukweli uliopo bongo kwa sasa unaweza usijue Kiki ipi au ukweli pia ni upi
Kutokea kwenye game ya Bongofleva rapa Young Dee alizua gumzo mtandaoni baada ya kusambaa picha zikimuonesha kaoa, sasa leo August 13, 2018 mkali huyo ametuletea Audio yake mpya aliyoiita ‘NAOA’
Comments
Post a Comment