Nikki Wa Pili na Ndoto ya kugombea uraisi wa Tanzania lakini Sio 2020 ,Ataja na Vipaumbele vyake

Msanii wa muziki wa hip hop, Nickson Simon aka Nikki wa Pili amedai bado dhamira yake ya kugombea Urais ipo pale pale lakini mwaka 2020 kama alivyotangaza hapo awali.


Comments