Samiratha Yule Dada Video Ilisambaa akiwa kwa Mganga Aongea yote

Stori ambayo ilikiki sana kutona na wengi kumjua mfanyabiashara kutokea mkoani Arusha, na Dar pia akiwa na tawi jingine la biashara yaje ya vipodozi ,Samiratha ambae kipindi cha nyuma alioneka kwa mganga wa kienyeji akifanyiwa dawa kasha video yake kusambaa katika mitandao ya kijamii huku story zikidai mumewe ndokavujisha video hiyo baada ya kugombana.

Comments