Mkali wa R&B bongo Ben Pol ambaye sasa hivi anatamba na kibao chake kipya cha Why akiwa amemshirikisha msanii kutoka WCB Harmonize .
Ben Pol amepost picha akiwa kavaa kiatu chenye block heel ambacho kwa standards za Kibongo bongo watu hawajazoea wanaona huyu vipi???
viatu ni vyeupe vinakamba na kisigino cha block
Hivi viatu vinavaliwa sana basi tu watu bongo washamba hatujui,
Ben alivaa all red na hivi viatu
Kanye ashawahi kuvaa mwaka 2015
Harry Styles wa One Direction
Justine Bieber










Comments
Post a Comment