Designer Maarufu wa Unyayo Mwekundu Christian Louboutin Kakuletea Eye Shadow za Matte na Mettalics on September 14, 2018 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Karibu wadada wote tunamjua Christian Louboutin ambaye alikuja na zile CL zilikick sana bongo,na baadae akaja na lipsticks . Sasa good news kwa wapenda makeup kaja na eye shadows za Matte na Mettalics .Zitauzwa $50 yes hii kama Laki moja na ushehee. Comments
Comments
Post a Comment