Diamond Platnumz Asuka Rasta ,Anam support Hamisa Mobetto kwenye Ubalozi wake na kampuni ya nywele?????? on September 03, 2018 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Muonekano mpya wa Diamond baada ya hiki kiduku pichani ni yeye akiwa amesuka rasta zake. Rasta zimesukwa style ya kiduku na ni ndefu za kufika mabegani mwaonaje style hii ??? Comments
Comments
Post a Comment