Miss Tanzania mwaka 2006 na msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu ameamua kumtambulisha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Wema ameposti picha hiyo na mwanaume mmoja na picha hiyo inaonekana kabisa Wema na mwanaume huyo wako kitandani wamelala ingawa mpiga picha ni Wema mwenyewe akipiga Selfie.
Na Wema alifungia comments kwenye post hii
Wema amekaa muda mrefu bila watu kumtambulisha mwanaume wake kwani alishazoea kuwapost wanaume anaokuwa nao kwenye mahusiano may be this is serious
Wema Sepetu amefanikiwa kuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti na wanaume wengi hasa mastaa wengi wao wakitoka hapa Tanzania lakini hakuweza kudumu nao licha ya wengi kuonekana kama walikuwa na mahusiano ya kweli na watu walihisi watadumu lakini mwisho wa siku waliachana.


Comments
Post a Comment