Wanaopenda Kujua Lini Elizabeth Michael aka Lulu atafunga ndoa,na Movie yake mpya
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Kwa wale fans wa Lulu Dr.cheni ambaye ni Muigizaji mkongwe na mshereheshaji wa sherehe mbali mbali Dkt. Cheni ametoa majibu ya maswali aliyoulizwa ni pamoja na ujio wa Movie mpya ya Lulu na siku ambayo ndoa Lulu atafunga ndoa.
Comments
Post a Comment