Hii Ndo Mikoa iliyotajwa kuongoza kwa matukio ya Ulawiti Tanzania.
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametaja mikoa inayoongoza nchini kwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia yanayofanyika nchini ikiwemo ubakaji, ulawiti pamoja na kutumikishwa kazi ngumu kwa watoto.
Comments
Post a Comment