Snura na mpenzi wake Minu wamekuja na wimbo mpya waitwa shongo,sasa wanafanya tour kwenye media mbalimbali kuutangaza wimbo huo.
Akiwa kwenye Bongo 5 aliulizwa issue ya yeye anachukuliaje maneno kama Ki Ben 10 ambalo watu wengi huwa wanamuita mpenzi wake,au kwamba anambemenda kijana huyo.
Haya ndo majibu yake

Comments
Post a Comment