Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Singida Msuya amesema “Sisi tulikuwa tunae kwa ajili ya mahojiano ya vitendo vinavyoashiria kufanyika mikutano isiyoruhusiwa inayohusishwa na vitendo vya rushwa, tumewaelekeza kwenye vyombo vingine vinavyohusika na udhibiti wa mikutano, sisi hatunae”.
Comments
Post a Comment