Baada ya Muziki,Makeup line ,Line ya nguo za ndani sasa Rihanna anaendelea kukuza empire yake kwa kuja na a luxurious clothing line
Rihanna ni mzuri sana kwenye mavazi na huwa napenda street styles zake anavaa vitu ambavyo wengi si rahisi kuvaa ni upendo wake wa fashion na kujaribu kua tofauti.
Nguo hizi amefanya collabo na Louis Vuitton Moet Hennessy.
Na hakutakua na runways bali atakua na drop out ambazo ni kama wanavyo amka usiku wa manane na kuachia nyimbo au Album sasa hii atafanya kwenye ngo zake.






















Comments
Post a Comment