Msanii wa muziki na filamu, Shilole Jumatatu hii amezindua bidhaa yake mpya ya sabuni iitwayo, Barox.
aliweka captionhiikwenyeinstagrama
Mapema leo nikiwa nazindua bidhaa yangu mpya ya Sabuni yangu inayoitwa Barox.
Tunafanya delivery bure kwa wateja wa Dar. Wasiliana na huduma kwa wateja kupitia namba 0744227124
Nitaendelea kuwajulisha namna ya kuzipata na kwa maelezo zaidi tembelea page ya Barox @baroxsoap
#KuwaMaridadiZaidi 🙏🙏 bidhaa yangu mpya ya Sabuni yangu inayoitwa Barox.



Comments
Post a Comment