Skip to main content
JPM Amteua Mpogolo Kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Edward Mpogolo kuwa mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida. Edward ambaye alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Dodoma, anachukua nafasi ya Miraji Mtaturu ambaye amechaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki.
Comments
Post a Comment