Kampuni ya iphone yaja na matoleo mapya ya iphone 11

Kwa watumiaji wa iPhone na wale wenye lengo la kununua simu hizo, Kesho Septemba 10, 2019  kampuni ya Apple Inc. Inatarajia kufanya mkutano wao wa kila mwaka utakaoambatana na uzinduzi wa matoleo mapya ya simu za iPhone 11.

Matoleo hayo ni iPhone 11, 11 Pro na 11 MAX na 11R, Na imeelezwa kuwa matoleo yote yameboreshwa zaidi kwenye kamera na ukubwa wa ndani.
Hata hivyo, Bei na sifa nyingine za matoleo hayo zitatangazwa kesho kwenye mkutano huo. Ila tetesi zilizopo bei ya juu itakuwa ni dola $1449 sawa na Tsh Milioni 3.3 .

Comments