Dudu baya atangaza tarehe ya kufunga ndoa on October 15, 2019 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Msanii na mlongwe wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini alimaarufu Dudubaya amefunguka na litaja tarehe anayoitarajia kufunga ndoa ambapo amesema hakuna kitu chochote anachofikiria zaidi ya kufunga ndoa kwasasa. Credit:Bongo5 Comments
Comments
Post a Comment