Skip to main content
Esma Aonesha Mkono wa Mtoto wa Diamond na Tanasha.
Esma Aonesha Mkono wa Mtoto wa Diamond na Tanasha, Amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kuandika haya:"Oooh Nishakumiss sasa twin ake Dangote , sijui nirudi maana Aunty Yuda Nishakumiss Thatha"
Comments
Post a Comment