Ommy Dimpoz Ashinda Msanii bora wa Kiume akiwatupa Mbali Ali Kiba na Diamond tuzo za AFRIMMA 2019

Mwimbaji wa muziki wa Bongo Flebva @ommydimpoz ameipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya usiku wa kuamkia leo kuibuka mshindi wa kipengele cha Msanii bora wa Kiume Afrika Mashariki katika tuzo za AFRIMMA 2019. ambapo katika kipengele hicho waliokuwa wanakiwani ni:-
Best Male East Africa
  1. Ali Kiba — Tanzania
  2. Diamond Platnumz — Tanzania
  3. Harmonize — Tanzania
  4. Nyashinski — Kenya
  5. Juma Jux — Tanzania
  6. Eddy Kenzo — Uganda
  7. Khaligraph Jones — Kenya
  8. Ommy Dimpoz — Tanzania:-Winner
  9. Rayvanny — Tanzania
  10. The Ben — Rwanda

Comments