Rais Magufuli – Sikutoi utaendelea kuwa Waziri Mkuu, wanaochonga wachonge sana

“Waziri Mkuu Hongera sana unanisaidia sana kazi, wengine wanaweza sema nakupa kichwa ila ukweli ni huo na una kichwa kizuri, unafanya napumzika nikikutuma sehemu unafanya kazi, kwahiyo wanaochonga wachonge sana wanaonuna wanune ila sikutoi utaendelea kuwa Waziri Mkuu”-JPM



credit:Bongo5

Comments