(Ommy Dimpoz katika picha na Ronaldo)
Mfanyabiashara maarufu Dullah Meru na msanii Ommy Dimpoz wote kutoka Tanzania wiki hii wameweka rekodi ya kuwa wwatanzania wa kwanza kupata mwaliko rasmi kuhudhuria mchezo kati ya Manchester United na Liverpool uliochezwa Jumatatu wiki hii ambapo Manchester United ilishinda kwa bao 2-1.
Kabla ya mchezo Dullah na Ommy walipata fursa ya kusalimiana na wachezaji tofauti ikiwemo Ronaldo, Malacia, De Gea, Fred, Bruno Fernandez, Van de Beek na wengine wengi.
(Dulla Meru katika picha na Ronaldo)
(Ommy Dimpoz katika picha na Fred)
Comments
Post a Comment