Abiria wanaolipa pesa taslimu wanaoagiza huduma za usafiri na waendeshaji magari ya Bolt nchini Tanzania
wiki hii inaweza kuwa ngumu kwao kupata huduma kwani huduma ya magari itapatikana kwa abiria wa makampuni na wale wanaolipa kupitia kadi.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kuwa kuanzia Jumatano hii, Agosti 17, inaeleza kuwa wateja wote wa rejareja (wanaolipa cash) hawatoweza kupata huduma hiyo. Mabadiliko haya yanakuja ili kuwezesha kampuni kuendana na mabadiliko ya kiuendeshaji yanayoendelea kujitokeza.
Source: The Citizen Tanzania
Comments
Post a Comment