Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemuhukumu kulipa faini ya Tsh. 250,000 Mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, James Simbachawene (24) baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu.
Makosa hayo ni kuendesha gari kwa hatari, akiwa amelewa na kuendesha gari bila kuwa na bima, pia
Mahakama hiyo imefungia leseni yake kwa miezi 6
baada ya kukiri kosa.
James amefikishwa mahakamani hap leo August 24, 2022 na kusomewa mashtaka yake mbele a Hakimu Mkazi Aron Lyamuva, Mtuhumiwa huvo alisomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali Daisy Makakala
Source: Millard Ayo
Comments
Post a Comment